Friday, July 24, 2020

Friday, July 10, 2020

faru



japokuwa mnyama faru ana mwili mkubwa ,ubongo wake ni mdogo tofauti na mwili wake.

kasuku

Baadhi ya aina za kasuku huweza kuishi zaidi ya miaka themanini 80.


popo

Mnyama aina ya popo anaweza kuishi zaidi ya miaka ishirini.


mbwa

Mbwa anaweza kusikia maradufu kuliko binadamu ,mbwa anaweza kusikia mara nne kutoka sehemu aliyopo.



simba

mngurumo wa simba huweza kusikika kilometa 8 nane kutoka sehemu alipo simba.


nyuki

Katika kila kundi la nyuki kuna aina tatu za nyuki ,nyuki malkia, nyuki wafanyakazi na nyuki dume.